About Ebenezer Boutique with Proffessional MC's & Dj's
Ni wanawake wajasiriamali tunaojishughulisha na masuala mazima ya ushereheshaji katika Shughuli mbalimbali za jamii kama vile: Harusi, Misiba, Kitchen Party, Sendoff, Matamasha ya Muziki wa Injili, Hafla / Dhifa za kitaifa na kimataifa......pia tunatoa ushauri mbalimbali kwa sherehe zote kwa gharama nafuu kabisa. "Kauli Mbiu yetu: "Wanawake ni jeshi kubwa, kwa pamoja tunaweza" KARIBU SANA.
[Compliances and Memberships/Affiliations]